OfficialVideo: Aslay – Muhudumu

Share this

Imekuwa ni kitu baada ya kitu kwa Bwanamdogo Aslay ikiwa ni baada ya ukimya wa muda mrefu, ni kichupa cha 3 ambacho amedropisha ndani ya mwezi mmoja, na hiki kimepewa jina la Muhudumu.

Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kujiachia nacho.


 

Dondosha comments


Share this