OfficialVideo: Belle 9 & G Nako – Ma-Ole

Share this

Ni moja kati ya muendelezo wa projects za wakali wawili wa Bongo fleva, Belle 9 na G Nako ambao wametusanua kuwa wao wanafanya kazi za pamoja tu lakini sio kundi.

Inaitwa Ma Ole, na hii ni official video ya ngoma hiyo, bonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kuisanukia.


 

Dondosha comments


Share this