OfficialVideo: Buravan ft AY – Just a Dance

Share this

Kutoka Kigali Rwanda huyu hapa anafahamika kama Buravan, amempa mashavu mkongwe kutoka Dar es Salaam Tanzania AY kwenye hii remix ya ngoma ya Just a Dance.

Bonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kuenjoy nayo.

Dondosha comments


Share this