OfficialVideo: Christer Melody ft Chidi Benz – Kumbe

Share this

Zao jipya kwenye kiwanda cha Bongo fleva, anafahamika kama Christer Melody na hii ni kazi yake yakwanza kwenye game ambapo amemshirikisha mkongwe Chidi Benz Chuma.

Audio production imefanywa na Producer Lamar wakati video mtu mzima Khalfani ndio kasimamia mchongo mzima. Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kuitazama video hiyo mwanzo mpaka mwisho. Enjoy


 

Dondosha comments


Share this