OfficialVideo: Davido ameileta nyingine mpya! Inaitwa “Pere” amewashirikisha Young Thug & Rae Sremmurd

Share this

Muziki wa Africa unazidi kupenya kwenye mafanikio ya ku-take over Duniani siku baada ya siku ikiwa ni kutokana na juhudi ambazoo zinaonyeshwa na wasanii kutoka Africa katika kupenya katrika muziki wa Dunia.

Mkali kutoka Nigeria Davido kwenye headlines tena na ngoma yake mpya ambayo imepewa jina la Pere ikiwa humo ndani amesikika mkali kutoka pande za State Young Thug.

Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kulitazama chupa hilo mwanzo mwisho kisha niachie comment yako kuhusiana na ngoma hiyo.

Dondosha comments


Share this