OfficialVideo: Diamond Platnumz – Eneka

Share this

Audio iliachiwa kimya kimya katika mitandao ya kijamii ikiwa ni katika hali ya utekelezaji wa kauli ya Diamond Platnumz kwamba this time ni kitu baada ya kitu non stop.

Ni masaa machache yamepita tangu iachiwe rasmi katika mtandao wa Youtube hii video ya wimbo wa Eneka, na nimeona sio kesi kama nitaisogeza karibu yako ili uweze kuenjoy nayo.

Director wa video ni Sesan ambaye ametisha kwa ma-location flan ya kinyama kama jangwani na sehem zingine tofauti tofauti. Bonyeza play kuitazama kisha niachie comment yako kuhusu video hiyo.


 

Dondosha comments


Share this