OfficialVideo: Dogo Janja – Ukivaaje Unapendeza?

Share this

Haya kwa wote wale ambao bado walikuwa wanabisha kuhusu Dogo Janja kuwa ndio msanii ambaye anaumiza kwa mitupio Afrika Mashariki nzima naomba wawe wapole, coz the wait is over.

Janjaro, Ngarenaro Republic amedropisha kichupa  cha ngoma yake mpya “Ukivaaje Unapendeza” kichupa ambacho wakali wa hizi kazi wanadai ametupia kuliko kawaida.

Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini kisha niachie comment yako hapa kwenye uwanja wa comment kuhusiana na video hiyo.


 

Dondosha comments


Share this