OfficialVideo: Hamadai – Binadamu

Share this

Kutoka Tanzania House of Talent, Hamadai amerudi tena mtaani akiwa na bidhaa yake mpya ambayo imepachikwa jina la Binadamu.

Hii nimeivuta kwako saa hiii ni official video ya ngoma hiyo, unachotakiwa kufanya ni kubofya kitufe cha play kwenye video hii hapa chini ili uweze kuikodolea macho.

Dondosha comments


Share this