OfficialVideo: Harmonize ametuletea nyingine mpya! Inaitwa “Sina” Itazame hapa

Share this

Baada ya chupa la ngoma ya Happy Birthday kufikisha views zaidi ya Million 1.7 katika mtandao wa Youtube mkali kutoka Usafini WCB Harmonize ametuletea kazi yake mpya ambayo kaipa jina la Sina.

Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini ili uweze kuitazama video hiyo mwanzo mpaka mwisho kisha niachie comment yako kuhusiana na video hiyo.


 

Dondosha comments


Share this