OfficialVideo: Karibu kuitazama “Turn Up” mpya ya Country Boy akiwa na Mwana FA

Share this

Ukitazama vizuri hili chupa unaweza kuomba Bongo tuungane na Wanigeria kwenye sheria yao mpya ya Wasanii wote marufuku kufanya video nje ya nchi.

Kutokana na ukali wa chupa lenyewe ikiwa director ni Hanscana. Ngoma inaitwa Turn Up, inamilikiwa na Country Boy huku Legend Mwana FA akiwa kama mshirikishwaji.

Bonyeza play kwenye video hii hapa chini uweze kuenjoy nayo.


 

Dondosha comments


Share this