OfficialVideo: Korede Bello – Butterfly

Share this

Hitmaker wa “Do Like This” kutoka Nigeria Korede Bello amedropisha kazi yake mpya ambayo ameipa jina la Butterfly.

Hii nimeileta kwako ni official video ya ngoma hiyo mpya ya Korede Bello, bonyeza play uweze kuitazama video hiyo.


 

Dondosha comments


Share this