OfficialVideo: Lava Lava – Tuachane

Share this

Baada ya kutambulishwa kama msanii mpya wa lebo ya WCB Wasafi na kuachia track ambayo ilipewa jina la Tuachane, Lava Lava amedropisha video ya ngoma yake hiyo mpya.

Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza kitufe cha play kwenye video hii hapa chini ili uweze kuenjoy nayo.


 

Dondosha comments


Share this