OfficialVideo: Rayvanny – Zezeta

Share this

Jana May 12 mkali kutoka WCB Wasafi, Rayvanny alidropisha ngoma yake mpya kupitia kipindi cha XXL cha Clouds fm, ngoma ambayo ameipachika jina la Zezeta.

Unachotakiwa kufahamu ni kwamba masaa machache baada ya kuiachia audio, iliachiwa video ya ngoma hiyo, ndio ambayo nimekuletea hapa saa hii uweze kuenjoy nayo.


  • #Freestyle: Cheki Rayvanny alivyoumiza kwenye beat ya “Up in the Air” ya Rosa Ree

Dondosha comments


Share this