OfficialVideo: Stamina ft Maua Sama – Love Me

Share this

Audio iliachiwa rasmi siku ya Alhamis kwenye XXL ya Clouds fm, ila video ndio hii hapa ambayo nimeivuta karibu yako muda huu.

Stamina ndio mmiliki wa ngoma ambaye kasimama kwenye verse huku chorus ikifanywa kitu mbaya na mwanadada Maua Sama ambaye kashirikishwa, ngoma inaitwa Love Me. Enjoy


 

Dondosha comments


Share this