OfficialVideo: Vanessa Mdee – Kisela

Share this

Nyingine ambayo imekuwa blessed na wapenzi wote wa muziki mzuri leo July 10 ni hii hapa kutoka kwa Cash Madame Vanessa Mdee ambayo amemshirikisha mkali kutoka katika kundi la P Square afahamikae kama Peter a.k.a Mr P.

Inaitwa Kisela, audio ilikuwa official release mchana wa leo kwenye XXL ya Clouds fm ila video ndio hii ambayo nimeivuta karibu yako saa hii ili uweze kuburudika nayo kisha uniachie comment yako kuhusiana na video hiyo.


 

Dondosha comments


Share this