OfficialVideo: Yemi Alade ameileta “Charliee” makhsus kwa mashabiki zake

Share this

Mmoja kati ya Wakali wanaowika kuliko barani Africa katika music industry ni huyu hapa mwanadada Yemi Alade kutoka Nigeria, Award Winner wa MTV Mama Awards Best Female Artist.

Amedropisha ngoma yake mpya ambayo ameipa jina la Charliee na hii hapa ndio official video ya ngoma hiyo. Bonyeza play kwenye video hii hapa chini kuenjoy nayo.


 

Dondosha comments


Share this