PSG KUMKOSA NEYMAR LEO BAADA YA KUFUNGIWA KWA UTOVU WA NIDHAMU

Share this

MSHAMBULIAJI wa Paris Saint-GermainNeymar amefungiwa mechi moja baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu kwenye mchezo dhidi ya Marseille.
Sasa Mbrazil huyo ataukosa mchezo wa leo wa Ligue 1 Ufaransa dhidi ya Nice.Neymar alipata kadi nyekundu katika mechi dhidi ya Marseille baada ya kuchezewa rafu na Lucas Ocampos dakika ya 87 na kumsukuma hadi chini winga huyo wa Argentina
sasa matokeo yake yakawa ni kuonyeshwa kadi ya pili ya njano hivyo mchezaji huyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 200 kutoka Barcelona, akatolewa kwa kadi nyekundu.
It means he will be missing for the Ligue 1 leaders in their game with Nice on Friday evening 
It also means, however, the next time he is banned he will be hit with an additional game Neymar has been hit with a suspended sentence following his red card against Marseille 

Dondosha comments


Share this