ROBERTO ANAKUKARIBISHA KUITAZAMA VITAMIN U AKIWA NA VANESSA MDEE

Share this

Msanii kutoka Zambia Roberto amabe alitamba na hit song ya Amarula time hii ameamua kutusogezea nyengine akiwa na mrembo kutoka code ya 255 Tanzania Vanessa Mdee ngoma inaenda kwa jina la Vitamin U na kichupa kikiwa kimefanya na Director Hanscana kutoka Tanzania pia,karibu kuitazama.

Dondosha comments


Share this