Tazama LIVE mechi ya FC Barcelona vs Manchester United hapa

Share this

kiwa vilabu vingi barani Ulaya bado vipo katika mabara tofauti tofauti katika michezo ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu kwa kucheza michezo ya kirafiki na mazoezi huku usajili ukiendelea katika kujiimarisha vikoasi vyao.

Leo mmoja kati ya michezo mikali inayotarajiwa kuchewzwa katika International Champions Cup North Amerca ni huu unaowakutanisha wababe kutoka Spain FC Barcelona na wakongwe wa England Manchester United.

Perfect255 inakupa nafasi ya kuutazama LIVE mchezo huo kwa kubonyeza maandishi mekundu hapa chini.

FC Barcelona vs Manchester United (LIVE)


 

Dondosha comments


Share this