TAZAMA VIDEO YA BIG SHAQ- MANS NOT HOT

Share this

Mchekeshaji Michael Dapaah a.k.a Big Shaq aliyejipatia umaarufu hivi karibuni baada ya kutoa freestyle akiwa katika kipindi cha “Booth Rap Show” hatimae ameachia rasmi video yake ya ngoma inayoitwa mans not hot

Video hiyo kwa kiasi kikubwa imefanyika Miami huku ikiwahusisha baadhi ya watu maarufu kama vile Jim Jones, Waka Flocka, Lil Yatchy, Snoochie Shy na legendary DJ Khaled chini ya director Marv Brown.

WAWEZA KUITAZAMA HAPA CHINI

Dondosha comments


Share this