UKARIBU WA MBAPPE NA NEYMAR WAANZA KUTOA TASWIRA MPYA NDANI YA PSG

Share this

Mshambuliaji raia wa ufaransa ambaye ameuzwa kwa mkopo kwenye klabu ya PSG amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza akiwa na kikosi hicho huku akionekana kuwa karibu na mchezaji ghali duniani raia wa Brazil Neymar jr.

The club's two stellar summer signings - worth a combined transfer fee of £364m - seemed to get along very well in trainingMbappe and Neymar could take the field for the first time together when PSG travel to Metz in Ligue 1 on Friday nightKwa sasa klabu ya PSG ndio inaongoza kuwa na forwads ya bei ghali duniani baada ya kutua kwa Kylian Mbappe na Neymar huku uwepo wa Edson Cavan ukiwa chachu ya kuongeza ubora wa kikosi hicho ambacho kipo chini ya matajiri kutoka nchi ya Qatar.

PSG hope the combination of Neymar and Mbappe can fire them to the Champions League success that has eluded themAkiwa mazoezini leo mbape ameonekana kuwa karbu na Neymar ambao kwa pamoja wamekutana baada ya kumaliza majuku ya timu zao za taifa,wachezaji hao wameonekana wenye furaha na bashasha baada muda mrefu kuonekana wanacheka na kutaniana,PSG inajiandaa kwa mechi za ligi kuu na zile za klabu bingwa ulaya ambazo zitaanza wiki ijayo kwa atua ya makundi.Neymar listens intently as Mbappe points something out during their first training session together Mbappe trained with his new PSG colleagues for the first time following his official unveiling on Wednesday afternoonMbappe gets down to business as he meets team-mates including Layvin Kurzawa (left) and Thiago Motta Mbappe was presented to the media by Paris Saint-Germain on Wednesday morning having made the switch from MonacoBrazilian contingent Dani Alves, Thiago Silva and Neymar pictured during training on Wednesday afternoon

Dondosha comments


Share this