Video: Big Sean ameileta “Moves”, utapenda miondoko ya humo

Share this

Big Sean ameamua kuja na “Moves”.

Baada ya kuachia video yake ya “Bounce Back” mwezi uliopita mwaka jana, Big Sean amekuja na kitu kipya cha “Moves” ambayo imedropishwa jana na ni ngoma ambayo ipo kwenye ujio wa Album yake mpya ya “I Decide”.

Ujio huo wa “I decide unatarajiwa kuachiwa February 3 mwaka huu, Tazama video ya ngoma ya “Moves” kutoka Big Sean.

Dondosha comments


Share this