Video: Chidinma – For You (Official video)

Share this

Mrembo kutoka pande za Nigeria ambae anakuja kwa kasi kwenye game la muziki mwanadada Chidinman ametupa kichupa za kufungia mwaka.

Perfect255 imeinyaka video ya mwanadada Chidinman inayokwenda kwa jina la ‘For you’, ngoma yenye mahadhi flani ya kiromantic. Enjoy

 


 

Dondosha comments


Share this