Video: Future – Buy Love

Share this

Future amerudi na video ya ngoma yake mpya ya  “Buy Love.”, kama unavyojua mwaka 2016 ndio tunaelekea ukingoni na wasanii bado wanajaribu kutupatia fleva za mwisho mwisho.

Enjoy nayo hapa chini  “Buy Love.” kutoka kwa Future.

Dondosha comments


Share this