Video: Future na Rick Ross ndani ya “Thats a Check”

Share this

Rapper Future ameamua kufunga mwaka na video yake mpya akiwa ameshirikiana na mnyama mkali Rick Ross kwenye kichupa cha “That’s a Check”

“That’s a Check” imekuja muda mchache baada ya kuachia jana video ya “Buy Love,”, dondoka nayo sasa kuweza kuisanukia “Thats a Check”.

Dondosha comments


Share this