Video: Kenrazy ft Avril – Zile Vitu (Official Video)

Share this

Kutoka code ya 254 Kenya hawa hapa wakongwe wawili wa muziki nchini humo, Kenrazy pamoja na mwanadada Avril wamekutana na kutengeneza bonge la ngoma linaloitwa Zile Vitu.

Video ya ngoma hiyo tayari imekamilika na ndio ambayo nimeileta kwako muda huu. Chukua dakika zako chache kuipimia ikiwa ni baada ya kubonyeza play kwenye video hii hapa chini.


  • Maneno ya harmonize kuhusu penzi la Wolper siku chache kabla ya penzi hilo kuvunjika.

Dondosha comments


Share this