Video: Killy – Nikwambie (Official Video)

Share this

Kutoka katika mikono ya aliyekuwa meneja wa Diamond Platnumz, mtu mzima Mr Misifa, huyu hapa ni msanii mpya kutoka katika uongozi wake, anaitwa Killy.

Na hii ni video ya wimbo wake mpya ambao unaitwa Nikwambie. Bonyeza play kwenye video hii hapa chini ili kuitazama mwanzo hadi mwisho.


  • Babu Tale-: Chidi Benzi ni sikio la kufa, halisikii dawa.

Dondosha comments


Share this