Video: Lameck Ditto – Moyo Sukuma Damu (Official Video)

Share this

Mkongwe katika game ya music Lameck Ditto baada ya ngoma yake mpya ya Moyo Sukuma Damu kufanya vizuri sana kwa upande wa audio ameamua kuachia video ya ngoma hiyo.

Nimeona sio mbaya kama nikiivuta karibu yako ili uweze kuenjoy nayo. Bonyeza play hapa chini ili uweze kuitazama video hiyo.


  • Mcheki Sol Campbell legendary wa club ya Arsenal akicheza wimbo wa Zigo Remix wa A.Y na Diamond Platnumz.

Dondosha comments


Share this