Video: Matonya – Hakijaeleweka (Official Video)

Share this

Baada ya Sugua Benchi kutoka kwa Tonya Mbili hii hapa ni nyingine mpya na kali kutoka kwake na ameipachika jina la hakijaeleweka.

Hii hapa ambayo nimeivuta kwako muda huu ni official video ya ngoma hiyo na kazi imebaki kwako tu kwa kubonyeza play kwenye video hii hapa chini ili kuitazama. Enjoy


 

Dondosha comments


Share this