Video: Melody Mbassa – Nikukoleze (Official Music Video)

Share this

Melody Mbassa msanii mpya kwenye game ya bongo fleva ambae baada ya kufanya vizuri na audio ya ngoma “Nikukoleze” na sasa amedropisha chupa la ngoma hiyo.

Melody ana staili yake mpya aliyoipa jina la Bongo Rhumba, ni mahadhi flani hivi ya mchanganyiko wa aina mbili za muziki.

Tazama video ya wimbo huo.

Dondosha comments


Share this