Video: Natasha Lisimo (Kadjanito) – Nifanye Nini (Official Video)

Share this

Unaikumbuka ile Maumivu? Ngoma flani hivi ambayo ilikuwa inabang kwenye playlists za wanadada kibao pindi wakiwa na stress.

Aliyeiimba alifahamika kama Kadjanito lakini this time anajiita Natasha Lisimo. Amedropisha ngoma mpya ambayo kaibatiza jina la Nifanye nini, ngoma flani hivi ya mapenzi ambayo una kila sababu ya kuenjoy nayo.

Hii hapa ni official video ya ngoma hiyo, bonyeza play kwenye video hii hapa chini ili kuitazama mwanzo hadi mwisho.


  • Tofauti na $5000 Benpol atafanya collabo kwa makubaliano haya!

Dondosha comments


Share this