Video:- Patoranking – God Over Everything (Official Video)

Share this

Mkali kutoka pande za Nigeria mtu mzima Patoranking tayari ameamua kuuwanza mwaka na hii aliyoipachika jina la “God Over Everything’.

Perfect255 imekinyaka kichupa cha kwanza kwa mwaka 2017 kutoka kwa msanii  Patoranking alichokipa jina la ‘God Over Everything’. Enjoy

Dondosha comments


Share this