Video: Picco – Hongera (Official Video)

Share this

Unaikumbuka ile Kikongwe? Ngoma flani hivi ambayo ilibamba kinoma noma miaka ya 2000+, Unamkumbuka aliye imba ngoma ile?

Anaitwa Picco, na leo hii katuletea video ya wimbo wake mpya ambao kaupa jina la Hongera. Una kila sababu ya kuenjoy nao. Play hii video hapa chini.


  • Rayvanny-: Niko tayari kufanya collabo na Alikiba, muda wowote hata sasa hivi!

Dondosha comments


Share this