Video: Rae Sremmurd wanaendeleza shangwe za Christmas kwa “Real Chill”

Share this

Najua shangwe za Christmas tumeshazimaliza na tulizobaki nazo ni za kuuona mwaka mpya wa 2017, Sasa Rae Sremmurd bado wanaziendeleza shangwe za Christmas kwa video yao mpya ya  “Real Chill” waliyomshirikisha rapper Kodak Black.

Enjoy nayo hapa chini video ya “Real Chill” kutoka kwa Rae Sremmurd wakiwa na Kodak Black.

Dondosha comments


Share this