Video: Reekado Banks pamoja na Vanessa Mdee wameisogeza ‘Move’

Share this

Tanzania kupitia mwanadada Vanessa Mdee inazidi kupepea kwa kolabo tofauti tofauti anazofanya na wasanii wakubwa, this time ni kutoka kwa Reekado Banks katika ngoma ya “Move”

Ujio huo wa Reekado Banks kwenye ngoma ya Moves unakamilisha album yake ya “Spotlight”, Reekado ni moja ya wasanii ambao wapo chini ya lebo ya Marvin inayomilikiwa na Don Jazzy.

Dondosha comments


Share this