Video: Roberto – Into You (Official Video)

Share this

Unaikumbuka ile Amarula? Ngoma flani hivi ambayo ilisumbua kinoma noma kitaani na hata clubs mbalimbali za hapa Bongo, sasa mmiliki wa ngoma hiyo afahamikae kama Roberto amedropisha goma jipya ambalo kalipachika jina la Into You.

Hii hapa ni official video ya ngoma hiyo, bonyeza play hapa chini kuitazama.


 

Dondosha comments


Share this