Video: Snura – Shindu (Official Music Video)

Share this

Baada ya lile chupa la “Chura” la mara ya kwanza kuzua majanga, Snura akaona isiwe kesi na kitu kizuri hakipotei kizembe zembe, akatuletea “Chura” nyingine ambayo ilipitishwa na Basata.

Good newz kutoka kwa Snura ni kwamba, Leo Jan 8, amedropisha chupa la ngoma yake ‘Shindu’ ikiwa audio ya ngoma hiyo bado inafanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya redio na chati za mkitodotcom.

Shindu ni ngoma ambayo miondoko yake ni ya Singeli. Video ya ngoma hiyo imeongozwa na Director Pablo.

Tazama hapa chini

Dondosha comments


Share this