Video: Tolu Ft Tiwa savage – Silent Night (Official Video)

Share this

Hii ndio siku pekee uliyoahidiwa na Tolu msanii kutoka pande za Nigeri kuwa atakupa nafasi ya kuujua ukimya wa mida flani ya usiku.

Perfect255 imeinyaka video ya Tolu aliyomshirikisha Tiwa Savage, Ngoma inayozungumzia maana halisi ya ukimya wa usiku, ngoma imepewa jina la ‘Silent Night’

Ngoma ya ‘Silent Night’ imepikwa na mpishi bora na kutiwa nakshi na mtu mzima Tkay. Enjoy


Babu Tale:- Chid Benz ni sikio la kufa halisikii dawa. Tazama full video hapa.

Dondosha comments


Share this