Video: Young Killer – Sinaga swagga (Official Music Video)

Share this

Msanii kutoka Matunzo Zero Unit, hapa namzungumzia Rapa Young Killer Msodoki ambae baada ya kuachia chupa lake la ngoma ya “Mtafutaji”, nakufanya vizuri.

Sasa ndani ya video hiyo Msodoki anaonekana akifanya mishemishe zake alafu mwisho wa siku anakutana na watoto wakali ambao wanakuja kununua CD yake.. it was a nice Idea.

IKiwa leo ni Jan 8, Rapa Young Killer amedropisha chupa lingine la ngoma yake mpya inayoitwa “Sinaga Swagga“, ikiwa ndio kazi yake ya kwanza kwa mwaka huu 2017.

Chupa la ngoma hiyo limeongozwa na Lucca Swahili na Audio ikiwa Produced By Palla, SijamokaTone, Mr T.

Tazama hapa chini

 

Dondosha comments


Share this