VIDEO:HIKI NDICHO WALICHO KISHUHUDIA RIHANNA NA JAY Z NDANI YA ORACLE ARENA

OAKLAND, CA - JUNE 01: Recording artist Jay-Z attends Game 1 of the 2017 NBA Finals at ORACLE Arena on June 1, 2017 in Oakland, California. NOTE TO USER: User expressly acknowledges and agrees that, by downloading and or using this photograph, User is consenting to the terms and conditions of the Getty Images License Agreement. (Photo by Thearon W. Henderson/Getty Images) ORG XMIT: 700056187 ORIG FILE ID: 691325302
Share this

Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa wbabe wa kikapu nchini marekani pale ambapo fainali ya kwanza ya NBA ilipochezwa katika uwanja wa nyumbani wa Golden State Warriors.James attempts to stop Curry from grabbing another two points for the hosts

Mchezo huo ulishuhudiwa na watu mbali mbali akiwepo rapa Jay Z na mwanadada Rihanna,ambao wote kwa pamoja walishuhudia kipigo kikali walichokipata cavaliers kutoka kwa wenyeji golden state warriors huku mchezaji Kevin Durant akiwa mwiba mkali kwa timu ya Cavaliers ambayo ilikuwa ikiongozwa na LeBron James.

Golden State fans reveal a massive 'Strength in Numbers' banner before their NBA finals match

Baada ya mchezo Rihanna alisikika akisema “Mfalme atabaki kuwa mfalme tu” akionyesha dhahiri kuwa amekerwa na ushindi walio upata Warriors na kubaki kujipongeza kwa kusema maneno hayo Durant celebrates in front of popstar Rihanna after netting a three-pointer from the sideline

Na hiki ndicho kilichotokea katika fainali ya kwanza ya NBA

Dondosha comments


Share this