VIDEO:HISTORIA YA PEKEE ALIYOIWEKA CHRISTIANO RONALDO KATIKA MICHUANO YA UEFA CHAMPIOS LEAGUE

Share this

Christiano Ronaldo ndiye mchezaji pekee kuweka historia ya kuiwezesha timu yake ya Real Madrid kubeba ubingwa wa uefa champions mara mbili mfululizo huku akifunga magoli katiaka kila fainali aliyocheza akiwa na miamba hiyo ya Hispania,Historia nyingine ambayo Ronaldo ameiweka ya pekee ni kuibuka kuwa mfungaji bora wa ulaya na mchezaji bora wa ulaya mara mbili mfululizo.

Image result for ronaldo record breaker in champions league

sasa kiujumla huu ndio mchezo wa kihistoria kwake tazama hapa alafu tupia comment

Dondosha comments


Share this