VIDEO:TAZAMA JINSI WIZ KHALIFA NA PHARREL WILLIAMS WANAVYOTENGEZA LADHA MPYA YA MUZIKI

Share this

Kama ulimiss kusikia sauti ya Wiz Khalifa basi usichoke maana kwasasa yupo studio akifanya unyama mpya ambao atauleta mtaani hivi karibuni akimshirikisha mkali wa ‘because am happy’ namzungumzia Pharrell William,Ambao kwa pamoja wametuonyesha kuwa wapo katika mchakato mzito wa kutoa ngoma mpya ambayo wamefanya pamoja.

Wiz Khalifa and Pharrell

Tazama hapa wakiwa studio Wiz Khalifa na Pharrell William

Dondosha comments


Share this