WAKATI JUKWAA LA TIGO FIESTA LIKI ANZA LEO ARUSHA,DOGO JANJA ATIMIZA NDOTO YAKE MAPEMAA

Share this

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii wa Bongo fleva Dogo Janja ametoa ya moyoni mwake juu ya msanii mwenzie wa Bongo fleva anayetamba kwa ngoma yake mpya ya Seduce me,Msanii huyo alitumia account yake kwa kuandika ‘HATIMAYE NDOTO ZAKE ZIMETIMIA ZA KUPIGA PICHA NA ALIKIBA’

 

Inasemekana ilikuwa ni ndoto ya muda mrefu ya Dogo janja kupiga picha na msanii huyo ambaye amekuwa kwenye ubora wa muziki kwa mua mrefu na kupitia Tigo fiesta ambayo inaanza leo katika mkoa wa Arusha imemfanya Janjaroo akamilishe ndoto yake ya muda mrefu ya kupiga picha na Alikiba.

Image result for dogo janja na alikiba

Wakati huo huo maandalizi ya Tamasha la Fiesta yamekamilika na wakazi wa Arusha na maeneo ya jirani wanachotakiwa kufanya ni kununua ticket mapema kwa njia ya simu zao za mkononi au mlangoni na kuwahi kufika katika uwanja wa Sheikh Amri Abed.

Image result for tigo fiesta 2017

Dondosha comments


Share this